TANZIA: Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Salum Mohamed Maarufu Kwa Jina la 'Sam wa Ukweli' Afariki Dunia - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

TANZIA: Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Salum Mohamed Maarufu Kwa Jina la 'Sam wa Ukweli' Afariki Dunia

Msanii Sam wa ukweli hatunaye tena duniani, amefariki usiku huu hospitali ya Palestina iliyopo Sinza

Mwili wa Sam umepelekwa hospitali ya Mwananyamala kuhifadhiwa.

Sam, alitamba na vibao vyake kama, ‘Lonely’, ‘Usiniache’, ‘Sina Raha’, ‘Hata Kwetu Wapo’ na nyinginezo ambazo zilimtambulisha na kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva.

Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.