Queen Darleen: Nitaolewa Mungu Akinipa Mume Nina Hisia na Mimi, Diamond Atasubiri - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Queen Darleen: Nitaolewa Mungu Akinipa Mume Nina Hisia na Mimi, Diamond Atasubiri

Msanii kutoka lebo ya WCB ambae pia ni Dada wa Diamond Platnumz, Queen Darleen ambae ametamba na ngoma ya Touch ambayo imetengezwa na studio ya Wasafi, amesema kuwa yeye pia ana hisia na upendo na anapenda hivyo kuhusiana na yeye kuwa na ndoa ataolewa hadi mungu atakapompatia, na Diamond atasubiri sana hadi yeye aolewe kwanza.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.