Gigy Money Afunguka Kumsamehe Mo J, Nitamzalia Hata Watoto 4 Akitaka - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Gigy Money Afunguka Kumsamehe Mo J, Nitamzalia Hata Watoto 4 Akitaka

Video vixen Gigy na muimbaji Gigy Money amesema kwa sasa yupo pamoja na baba mtoto wake Mo Jay ikiwa ni miezi kadhaa toka wagombane na kurushiana maneno ya kashfa kupitia mitandao ya kijamii. Gigy amesema kwa sasa yupo tayari hata kumzalia watoto kwa kuwa amegundua mtangazaji huyo wa Choice FM ni mwanaume makini. - Bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.