Bifu La Chris Brown na Drake Juu ya Rihanna Limeisha, Sasa ni Amani Tu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Bifu La Chris Brown na Drake Juu ya Rihanna Limeisha, Sasa ni Amani Tu

Ikiwa ni Masaa Kadhaa Tu Yamepita Tangu Itoke Album Mpya ya Mnyamwezi @champagnepapi inayoitwa #Scorpion , Mkali wa RnB na Pop Chris Brown amepost ScreenShot ya Cover ya Album hiyo kutoka kwenye Account ya Instagram ya Drake.

Ikumbukwe Kuwa Wawili Hao walikua na Bifu kubwa lililopelekea Mpaka Kuzua Ugomvi Mkubwa Kwenye Mitandao ya Kijamii na Hata Maisha Halisi.

@chrisbrownofficial Ameiweka Screenshot hiyo kwenye Insta Story ya Account yake na Hii Inaonesha Kuwa Wawili Hao Hawana Matatizo Yoyote kwa Sasa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.