Aslay Aweka Wazi Picha 3 Kali za Mjengo Wake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Aslay Aweka Wazi Picha 3 Kali za Mjengo Wake.


Muimbaji Aslay ambaye alisema kuwa pesa ya kubadilishia mboga anayo na ikiwemo gari yake aina ya BMW na nyumba ya kuishi, sasa jana June 2, 2018 mkali huyo kutokea bongoflevani ametuonesha picha za mjengo mkali na yeye akiwepo.

Je hii ndo nyumba ya Aslay tunayoisikia…? Nakukaribisha kutazama baadhi ya picha alizotuonesha mkali huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram….

”Mambo Mawili Huonesha Picha Yako Halisi (1) Subila Yako Ukiwa Huna Kitu (2)Mwenendo Wako Pindi Unapokuwa Na Kitu, Kila Hatua Dua #dingimtoto“ – ASLAYDownload App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.