Aslay Afunguka, Uchawi Anaotumia Kuandikia Nyimbo. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Aslay Afunguka, Uchawi Anaotumia Kuandikia Nyimbo.

Msanii wa muziki ambaye anafanya vizuri kwa sasa, Aslay amefunguka kuzungumzia mbinu anayotumia katika kuandika ngoma zake kutokana na nyimbo zake nyingi kufanya vizuri.

Muimbaji huyo ambaye atakuwa ni mmoja kati wasanii ambao watafanya show katika Tamasha la Sport&Music Festival mkoani Mwanza, amesema katika uandishi wa ngoma zake anazingatia kuzungumzia maisha ya watu ambao anaishi nao.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.