Angalia Video : Mwili wa ‘Sam wa Ukweli’ ulivyotolewa Mwananyamala kuelekea Bagamoyo. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Angalia Video : Mwili wa ‘Sam wa Ukweli’ ulivyotolewa Mwananyamala kuelekea Bagamoyo.


Leo June 8, 2018 Mwili wa marehemu Salum Mohamed maarufu Sam Wa Ukweli umetolewa chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya Mwananyamala tayari kwa kuelekea Bagamoyo, Kiwangwa mkoani Pwani ambapo ndipo mazishi yatafanyika.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.