Wolper Asema List Aliyotoa Harmonize Ni Ndogo, Adai Kuwa Ameonewa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wolper Asema List Aliyotoa Harmonize Ni Ndogo, Adai Kuwa Ameonewa

Mwanadada Wolper amemjibu msanii wa muziki Harmonize kwa kumwambia kuwa anaona kama ameonewa kutokana na list hiyo aliyoitao yeye kuhusu idadi ya wanaume aliwahi kutembea nao na kusema kuwa mbona kama list hiyo ni ndogo sana.

Wolper anasema kuwa kuna baadhi ya watu wanaume huyo amewasahau na kwake anaona kama ameonewa kwa sababu hiyo sio idadi kamili ya wanaume aliyowahi kuwa nao kabla ya kwake yeye , lakini pia Wolper amemjibu kuwa kuna baadhi ya wanaume ambao amewaweka amewakosea kwaio kama anataka ni bora amfate mwenywe ili ampe aliowasahau na pia ampe majina ya ukweli.

Katika ukurasa wake wa instgram , asunui ya leo wolper aliamua kumjibu Harmonize kwa kile alichomtuhumu jana kuhusu kuwa na idadi ya wanaume zaidi ya 10 katika maisha yake ya mahusiano.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.