Wema Sepetu Akanusha Suala Hili Kuhusu Lipstick Zake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wema Sepetu Akanusha Suala Hili Kuhusu Lipstick Zake

Mrembo Wema Sepetu amekanushaa taarifa zilidodai kuwa bidhaa zake mpya za lipstick zinafanana na zile za mwanzo.

Wema amesema hilo halina ukweli wowote zaidi ya watu walioamua kuzusha hilo.

“Kiss by Wema sio Wema Sepetu Liquid Matte, Kiss by Wema ilikuwa na mafuta, hii ya pili ni kavu, hazina mafuta and zipo kwenye package tofauti na zina ubora zaidi kuliko zile za mwanzo,” Amesema Wema Sepetu.

September 2017 Meneja wa Wema Sepetu, Happy Shame alikanusha taarifa zilizodai kuwa lipstick za ‘Kiss by Wema’ zilipigwa maarufu na Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini (TFDA) kwa kueleza kuwa bidhaa hizo hazikuwepo tena sokoni kwa wakati huo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.