Wema Ashindwa Kuzuia Hisia Zake kwa Ommy Dimpoz - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wema Ashindwa Kuzuia Hisia Zake kwa Ommy Dimpoz

Malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu ameshindwa kuzuia hisia zake kwenye wimbo mpya ’Yanje’ wa Ommy Dimpoz ambao amemshirikisha Seyi Shay kutoka Nigeria.

Madam Sepetu amefunguka kuwa muziki wa aina hiyo ndio muziki anaoupenda na kumwambia msanii huyo kwa sasa anaimba muziki wa kikubwa.
Kupitia mtandao huo Wema ameadika:

"Wanasemaga Kimya Kingi kina MSHINDO mkubwa… Ngoma Imenibamba Hatare… Sijui kwasababu ndo aina ya Mziki ninaopenda… Forever Bae Umemaliza wallahy… This One Is Just Amazing…
.
Alafu kama naona GROWTH… Yaani Mziki unaoimba now kama wa Kikubwa zaidi… Keep it Up kipenzi… Umeua… Yaani Ni Balaa… Kazi Nzuri umefanya kummezesha Seyi Shai Swahili…
.
WellDone… You outdid yourself… Proud of You… Ladies & Gentlemen ebu tufanye kutembelea Bio yake @ommydimpoz tukaicheck hii video na tusikilize hii track… Ni Moto wallahy… .
.
Naona hii ulituliza kichwa kweli kweli… Wen you talk about Mziki Mzuri sasa ndo huu apa… cc @ommydimpoz @ommydimpoz @ommydimpoz @ommydimpoz "

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.