Nicki Minaj na Eminem Kufunga Ndoa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nicki Minaj na Eminem Kufunga Ndoa


Eminem na Nicki Minaj wadaiwa kuwa wapenzi kimya kimya ingawa dalili zinaonesha kuwa wana-dat.

Album ya Nicki Minaj Queen imechelewa kama miezi miwili hivi na Nicki ameonekana kujiachia kwenye mitandao, alionekana ana rap kwenye ngoma ya Big Bank ya YG ambayo inahusiana na Slim Shady na ndipo shabiki kumuliza kama wana mahusiano na Eminem.

ilikuwa hivi Ummmm is Nicki Minaj dating Eminem?? pic.twitter.com/xUL1qvAcAZ
Baada ya swali hilo, Nick Minaj alitoa jibu rahisi tu, kuwa Ndio, “Yes,” na Eminem naye kuingia kwenye Twitter na kuandika 'Unajua ni kweli “@nickiminaj girl you know it’s true,” a possible reference to the 1989 Milli Vanilli single of the same name. 

Minaj aliendelea na kumwita Eminem Babe, nilidhani tutaweka siri mpaka siku ya ndoa, Nitaongea na wewe nifika nyumbani

 “@eminem babe I thought we were gonna keep it on the low til the wedding. Yikes. I’ll talk to you when I get home.”


Mashabiki wengi walifunga mjadala kufikia kukubali kuwa wawili hao ni wapenzi baada ya mstari wa Nick Minaj unaopatikana kwenye ngoma ya Big Bank ya YG ambao Nick “Big Bank” that features Minaj rapping, “Told ’em I met Slim Shady/Bagged the Em/Once he go black, he’ll be back again.”

Nick Minaj na Eminem walishawahi kukutana mwaka 2010 kwenye project ya  Black Barbie’s “Roman’s Revenge” single. 

Album ya 4 ya Nick Minaj Queen inategemewa kutoka August 10.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.