Nandy "Nilizimia Baada ya Kuambiwa Video yangu ya Kitandani Inasambaa Mitandaoni" - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nandy "Nilizimia Baada ya Kuambiwa Video yangu ya Kitandani Inasambaa Mitandaoni"


"Kiukweli nilistushwa na simu nilizokuwa napigiwa, sikujua ni kitu gani lakini baadae nilipojua ukweli, nilizimia kwa mujibu wa meneja, lakini mimi sikujua kama nilizimia, nilichanganyikiwa sana, hadi sasa sijajua ni nani aliisambaza ile video na alikuwa na nia gani" Nandy 

Ukikutana leo hii na Nandy utapenda kumwambia nini au kumshuri nini ?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.