Mzungu wa Harmonize Afunguka Kuhusu Tuhuma za Kutembea na Bodyguard - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mzungu wa Harmonize Afunguka Kuhusu Tuhuma za Kutembea na Bodyguard

Wikiendi iliyopita kulizuka drama katika mtandao wa instagram kuhusu tuhuma za Harmonize kusema kuwa ni bora kama kweli taarifa alizozipata kuwa zisiwe za kweli kuwa mpenzi wake Sarah amekuwa akitoka kimapenzi na mlinzi wake anaejulikana kama Mwarabu Fighter.

Harmonize alisema hayo kwa chuki huku akisema kuwa hatopenda kusikia mpenzi wake akitoka kimapenzi na mtu huyo ni bora angekuwa akitoka kimapenzi na mwanaume mwingine, baada ya kuongea hivyo mengi yalisemwa katika mitandao na ndipo Sarah aliamua kumjibu kwa kuandika maneno haya:

"i smile for the novel of instagram haaa haa realy,i m sorry for you but am not that kind of woman and as long as am taying with my man harmonize there will be no other people in my life and i love him more than i can imagine.

so if you want these kiki novels,go look for them in other pages,oh i forget for all people who talk badly dont worry that i will come back and look for you."

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.