Mashabiki Wakerwa na Interviews za Alikiba; Yeye Kwake Kila Kitu ni "Personal" - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mashabiki Wakerwa na Interviews za Alikiba; Yeye Kwake Kila Kitu ni "Personal"

Tofauti na masuper wengine ambao ukiangalia interviews zao mtazamaji utajifunza kitu kutoka kwake, na ataku-inspire kwa namna moja au nyingine.

Huyu mheshimiwa, kati ya maswali 10 atakayoulizwa atajibu 2 tu!

Yeye kwake kila kitu nni PERSONAL... Aaagrh, wewe ni msanii mkubwa bwana, watu wanapenda kujua na kujifunza kutoka kwako including some of your personal life stories (Sio kila kitu off course cha kuweka hadharani) lkn kwako ni too much!

Sasa umejipeleka mwenyewe kwenye vipindi kama LEO TENA na SHILAWADU, na unajua kabisa aina za interview ambazo huwa zinafanyika kule, matokeo yake kila saa unatishia kuondoka...

THIS IS TOO LOW BROTHER!

By SirBonge/JF

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.