Marufuku Kukohoa Pale Unapopishana na Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Marufuku Kukohoa Pale Unapopishana na Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa

Kama mada inavyojieleza, Kamanda wa polisi Hassan Nassir amesema ni marufuku kukohoa pale unapopishana au unapomwona mdada/mwanamke mwenye makalio makubwa.

Kamanda huyo amesisitiza kwamba kukohoa huko kutapelekea kukamatwa kwa maana kitendo hicho ni "Shambulio la aibu" na ni kosa kisheria.

Msikilize hapa: 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.