Mambo Muhimu ya Kuzingatia ili Kujikinga na Magonjwa ya Moyo - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mambo Muhimu ya Kuzingatia ili Kujikinga na Magonjwa ya Moyo

Ili kuweza kujikinga na magonjwa ya moyo unatakiwa kuzingatia yafuatayo;

1. Pima shinikizo la damu angalau mara moja kwa mwaka.

2. Hakikisha unakuwa na uzito  sahihi

3. Fanya Mazoezi.

4. Punguza matumizi ya Chumvi  kwenye Chakula.

5. Kula zaidi  Matunda, Mboga za Majani na Vyakula ambavyo havina  Mafuta.

6. Punguza matumizi ya Pombe.

7. Iwapo umegundulika kuwa na tatizo la shinikizo la damu,tumia dawa kama ulivyoelekezwa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.