Hii Ndio Adhabu na Faini Utakayo Pewa Utakapokutwa Umevaa Sare za Jeshi Bila Ruhusa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hii Ndio Adhabu na Faini Utakayo Pewa Utakapokutwa Umevaa Sare za Jeshi Bila Ruhusa

#IjueSheria: Mtu yeyote ambaye hatumikii Jeshi la Ulinzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wala Jeshi lolote la Polisi lililowekwa kwa Sheria akivaa bila ruhusa ya Rais vazi rasmi la Jeshi lolote au vazi linalofanana na vazi rasmi au kuwa na alama yoyote ya Kiaskari atakuwa ametenda kosa.

Mtu aliyetenda kosa hilo atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha mwezi mmoja jela au faini ya Tsh. Mia mbili.

Aidha, hakuna kifungu kinachomzuia mtu yeyote kuvaa vazi rasmi katika michezo ya tamasha inayochezwa hadharani mahali popote iwapo ataliwakilisha Jeshi kwa nia njema.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.