Harusi ya Mwana Mfalme Prince Harry Yagharimu 102.6 Bilioni za Tanzania - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Harusi ya Mwana Mfalme Prince Harry Yagharimu 102.6 Bilioni za Tanzania

Hili ni tukio kubwa katika historia ya Uingereza: kwani runinga, redio pamoja na vyombo vyote vya habari duniani vimetupia jicho lake hapa.

Kwa mujibu wa mtandao maarufu unaoangazia gharama za Masuala ya ndoa na Sherehe mbali mbali, #BrideBook umeripoti kuwa, bajeti ya harusi hiyo ni kiasi cha dola za Kimarekani, Milioni 45, ambazo ni zaidi ya sh.102.6 bilioni za Tanzania. Hiyo itatumika kwenye ishu za Ulinzi, vyakula, Usafiri, Mapambo na vinywaji mbali mbali.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.