Harmonize Kaweka Rekoki Hii Mpya YouTube, Noma Sana - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Harmonize Kaweka Rekoki Hii Mpya YouTube, Noma Sana

Historia imeandikwa leo May 30, Video ya Harmonize_tz Ft. Diamond Platnumz "KWANGARU" imefikisha idadi ya Views MILIONI 10 ndani ya Mwezi Mmoja! na kuweka rekodi ya kuwa video ya kwanza Afrika Mashariki kufikisha idadi hiyo ya Watazamaji kwenye YouTube kwa muda huo.

Video hiyo iliwekwa kwenye YouTube April 14, 2018.

Awali KWANGARU iliweka rekodi ya kuwa Video ya kwanza iliyoongozwa na Mtanzania Director Kenny chini ya kampuni ya Zoom Production Kufikisha views Milioni 1 ndani ya siku Mbili. | This is Major 💪 Congrats!

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.