Dogo Janja Ashindwa Kujizuia Kwa Mke Wake 'Uwoya' Afanya Hivi - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Dogo Janja Ashindwa Kujizuia Kwa Mke Wake 'Uwoya' Afanya Hivi

Nguvu ya mapenzi imeonekana tena kwa mkali wa bongo fleva, Dogo Janja ambaye amepost kupitia ukurasa wake wa Instagram picha inayomuonyesha akiwa amelala na mkono wake wa kulia upande wa chini ikionyesha tattoo yenye jina la mpenzi wake Irene Uwoya. Huku akidai kuwa moja kati ya ahadi zake kwa mke wake Uwoya. 

Je Unafikiri kuchora tattoo ya mpenzi wako ni kipimo halisi cha upendo kwake ?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.