Bifu la Diamond na Mama Yake Lafika Mtandaoni. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Bifu la Diamond na Mama Yake Lafika Mtandaoni.

Msanii Diamond Platnumz na mama yake inasemekana hawana mahusiano mazuri kutokana na ukweli kwamba siku ya juzi akaunti ya instagram ya mama yake ilionyesha kuwa wa sasa mama huyo hamfuati tena mtoto wake lakini vile vile hata Diamond hamfuati mama yake.

Diamond na mama yake wanasemekana kuingia katika ugomvi huo kutokana na chuki aliyonayo mama huyo kwa Hamisa Mobetto na mtoto wake wa kiume aliyezaa na Diamond ambapo siku chache zilizopita Diamond alimpost mtoto wake huyo ilihali bibi wa mtoto huyo (Bi .Sandra ) hajawahi kumpost na watu kuhisi kuwa inawezekana mama huyo hampendi kabisa mjukuu wake huyo wa kiume kutoka kwa Hamisa.

Kumekuwa na uendeleaji wa siri wa penzi la Hamisa na Diamond huku tetesi zikidai kuwa ile ahadi ambayo Diamond aliiweka ya kuoa mwaka huu inawezekana kutimia kwa asilimia 90 kwa Hamisa kutokana na ukaribu wake na Hamisa na penzi jipya kati yao.

>>BOFYA HAPA<< KUPAKUA APP YETU USIPITE NA UHONDO WA MAMBO.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.