Aunty Ezekiel: Mchango wa Mose Kwangu ni Zaidi ya Pesa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Aunty Ezekiel: Mchango wa Mose Kwangu ni Zaidi ya Pesa

Siku ya May 1 , msanii wa bongo movie Aunty Ezekiel alikuwa na press conference kwa ajili ya kuitangaza filamu yake mpya inayoitwa mama ambayo amemshirikisha mtoto wake wa kike Cookie, akiongea na waandishi wa habari, mama Cookie anasema kuwa hakuamua kumshiriksha mume wake moze iyobo kwa sababu anaamini kabisa kila mtu amezaliwa na kipaji chake hivyo anajua kuwa kuigiza sio kazi ya Mose.

Aunty anasema kuwa aligundua kuwa mtoto wake ana kipaji lakini yeye kuwa na mahusiano na Mose haimaanishi kuwa basi amlazimishe Mose kufanya movie wakati anajua kuwa Mose hawezi kuigiza bali anaweza kucheza na ndio ilivyo hata kwake kuwa hawezi kucheza kwaio, kuna baadhi ya vitu kati yake na Mose vitabaki kuwa kama vilivyo.

"Mimi na Moze tuna mipaka, tumekuwa tukiihsi bila kuingiliana katika kazi,mimi siingiliane nae katika kazi zake, na yeye pia haingilii kwenye za kwangu hapana.kwaio nisingependa kulazimisha kwa sababu eti ni mama aliyezaa nae, kwaio sijamshirikisha kwa sababu kipaji chake ni ch kucheza na sio kuigiza. Mose kwang ana mchango mkubwa sana , mchango wake ni mkubwa sana zaidi hata ya pesa kwa sababu ninapokuwa nikipata ushauri wake na nikaufanyia kazi ndio unaokuwa unaniletea pesa."

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.