Amber Lulu Afunguka Kuhusu Video Yake Na Nuh Mziwanda Wakiwa Katika Pozi Za Kimahaba. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Amber Lulu Afunguka Kuhusu Video Yake Na Nuh Mziwanda Wakiwa Katika Pozi Za Kimahaba.

Msanii wa bongo fleva na muuza nyago katika video za wasanii Amber Lulu amefungukia video inayosambaa mitandaoni ikimwonyesha yeye na msanii mwenzake Nuh mziwanda wakiwa katika pozi za kimahaba.

 Amber Lulu amesema video hiyo imetokana na nyimbo yao mpya watakao uachia hivi karibuni na wala hana uhusiano wowote wa kimapenzi na Nuh Mziwanda huku akidai kuwa video hiyo imemsababishia ugomvi na mpenzi wake ambaye ni msanii wa Kenya, Prezzoo.

VIDEO:

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.