Alikiba: Situmii Pombe Hivyo Niliona Bora Kutoa Energy Drink - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alikiba: Situmii Pombe Hivyo Niliona Bora Kutoa Energy Drink

Msanii Alikiba leo ametengewa siku ake rasmi kwa ajili ya kuongelea maswala mablimbali kuhsu biashara zake na pia harusi na maswla mbalimbali ya kijamii.Alikiba amefunguka na kusema kuwa yeye ni msanii ambae amekuwa akitumia Energy Drink kila mara anapotaka kupanda jukwaani na wala hatumii pombe hivyo aliamua kutafuta radha ambayo hatotaka kuitumia kwa kuchanganya na maji hivyo Mo Faya imetatua tatizo hilo.

Akiendelea kuongelea bidhaa yake hiyo ametoa sababu kwanini imekuwa na rangi tofautu tofauti na kusema kuwa:

"kopo lake lina rangi nyeusi likimaanisha uafrika, rangi nyekundu iikiwalikisha dhati ya kufanya kitu (passion) na rangi ya dhahabu inaonyesha thamani ya bara letu la afrika.

lakini pia nilichagua energy drink kwa sababu kwa sababu mimi nimefanya kazi kwa miaka 14 lakini sasa hivi tupo kwenye wakati ambao watanzania wanafanya kazi sana kutokana na kasi ya Rais wetu , mimi nimeona nilete kinywaji ambacho kitawapa nguvu watu ya kufanya kazi na kuamsha akili zetu ili kuleta ufanisi."


Alikiba anasema kwamba siku ya leo itakuwa ni siku ya alikiba na atafanya tour katika vipindi vyote vya Clouds hivyo mashabiki wake wakae mkao wa kula kwa sababu inawezekana akadondosha ngoma mpya.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.