Wolper Bado Anateswa na Penzi la Harmonize - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wolper Bado Anateswa na Penzi la Harmonize

Mwanadada mjasiriamali na msanii wa bongo movies Jackline Wolper anaonekana bado kuandamwa na mzimu wa penzi la msanii wa bongo fleva Harmonize kutokana na ukweli kwamba amekuwa akirusha madogo katika mitandao ya kijamii kama vile anarusha madongo hewani na kwamba hawezi kurudiana na Harmonize ilihali Harmonize mwenyewe hana mpango na maneno yake.

Katika ukurasa wake wa instagram , aliandika “taking you back is like trying to put a piece of shit back into my asshole#ebunipumzishenijamani…#nimeshakutoaukurututulia.

Maneno haya yanaonekana kumlenga Harmonize kwa sababu kwa siku za hivi karibuni mpenzi wa Harmonize ndiye aliekuwa akimtuhumu Jack kuwa amekuwa akimtumia meseji za mapenzi Harmonize na kwamba anaonekana kutaka kumrudia mwanaume huyo wakati mwenzake ameshaamua ku-move on.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.