Wema Sepetu: Bora Masogange Alishahukumiwa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wema Sepetu: Bora Masogange Alishahukumiwa

Malkia wa Bongo Muvi, Wema Sepetu, amefika tena mahakamani leo kusikiliza kesi inayomkabili ya matumizi ya madawa ya kulevya, ambpo amesema upande wa mashtaka wameshawasilisha maelezo yao na umebaki upande wao kuweza kujitete ambapo kesi hiyo imesogezwa mbele mpaka mwezi Mei.

Akiwa mahakamani hapo Wema amesema hana matumaini yoyote juu ya kesi yake isipokuwa anasubiri sheria ifuate mkondo wake, huku akisema ni bora Marehemu Agness Masogange alifanikiwa kumaliza kesi yake na akatozwa faini, lakini kwa upande wake anasubiri tu sheria ifanye kazi yake.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.