Video za Mahaba Kati ya Diamond na Hamisa Zazua Gumzo, Jionee Mwenyewe - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video za Mahaba Kati ya Diamond na Hamisa Zazua Gumzo, Jionee Mwenyewe

Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz na amerudi upya kwenye headlines baada ya video zake za mahaba na Baby mama wake msanii Hamisa Mobetto kusambaa mtandaoni siku ya jana.

Wawili hao wameonesha wazi kuwa maadui siku za nyuma baada ya Hamisa kusambaza picha zao wakiwa pamoja baada ya Diamond kukataa kuwa hajazaa naye lakini baadae walimaliza tofauti zao mahakamani.

Lakini jana Diamond na Hamisa wameonekana pamoja katika chumba kimoja huku wakikumbatiana na kushikana kitendo kilichoibua maswali mengi kwani kiukweli haijajulikana kama wapo pamoja au ni kiki.

Hizi ni baadhi tu ya video zinazowaonyesha wakiwa pamoja:

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.