Video: Harmonize Ft. Sarkodie - DM Chick - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Harmonize Ft. Sarkodie - DM Chick

Mwanamuziki kutoka WCB Wasafi, Harmonize amekuletea hii mpya 'DM Chick' akimshirikisha Sarkodie kutoka Ghana. Kumbuka Harmonize bado anafanya vizuri na goma yake 'Kwangwaru' aliyomshirikisha Diamond Platnumz. 

Tazama hapa chini kisha acha maoni yako.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.