TID Amwaga Povu Zito Baada Ya Kuhojiwa Kuhusu Mpenzi Wake Aliyemvisha Pete - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

TID Amwaga Povu Zito Baada Ya Kuhojiwa Kuhusu Mpenzi Wake Aliyemvisha Pete

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo fleva TID ametoa povu zito mara baada ya Kuhojiwa kuhusu Mahusiano Yake na mwanamke wake aliyemvisha pete miaka nane iliyopita.

TID na Kinana walikuwa Kwenye Mahusiano ya miaka mingi na siku ya wapendanao mwaka 2010 TID alimvisha Pete mchumba wake huyo mbele ya mashabiki zake kwenye shoo aliyokuwa anapiga.

Mwanamuziki huyu anayetamba na ngoma ‘Wewe Dada’ katika mahojiano na E-Newz ya EATV alisema hapendi kuzungumzia mambo ambayo tayari yameshapita.

"Hiyo sasa it’s very long time, i am not here to discus about my past, you should know that, usipenda kufuatilia mapenzi ya watu hilo ndio tatizo lako".

Siku za hivi karibuni TID amekuwa akirusha picha Mtandaoni akiwa na mwanamke mwingine huku a kuweka wazi kuwa wapo Kwenye Mahusiano ya kimapenzi.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.