Taarifa: Msiba wa Agnes Gerald Masogange - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Taarifa: Msiba wa Agnes Gerald Masogange

Baada ya Kikao cha jana cha Viongozi, Wadau, Wasanii pamoja na ndugu. Imeafikiwa kuwa Kesho Jumapili April 22, 2018, Mwili wa Marehemu Agnes Utaagwa katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni Kuanzia Saa 3 Asubuhi Hadi Saa 7 Mchana.

Hivyo Taarifa hii ikufikie wewe ndugu, jamaa, mdau wa sanaa na rafiki wa karibu kufika eneo hilo kwa ajili ya kuuaga Mwili wa Mpendwa wetu.

Baada ya Shughuli za Kuaga Mwili, Safari itaanza hapo hapo kuelekea kwao Mbalizi Mkoani MBEYA kwa ajili ya Kupumzishwa kwenye makazi yake ya Milele. 

Endelea kubaki na sisi kwa Updates zaidi.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.