Stamina Atangaza Tarehe ya Ndoa Yake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Stamina Atangaza Tarehe ya Ndoa Yake

Baada ya kufanya Send-Off mwishoni mwa mwaka jana, rapa Stamina amefunguka tarehe ya kufunga ndoa na mchumba wake huyo aliyemvisha pete ambaye amesema kuwa alimfuatilia na kumchunguza kwa muda mrefu kabla ya kuchukua hatua za kufunga naye ndoa.

Kwenye mahojiano yake na Bongo5, Stamina amesema kuwa ndoa atafunga tarehe 5, May mwaka huu kama Mungu akijaalia.

Akielezea kuhusu umaarufu wake na jinsi alivyompata mwanamke huyo, Stamina amesema mchumba wake hafuatilii kabisa masuala ya muziki bali anapenda muziki wake tu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.