Picha ya Barnaba na Mpenzi Wake Mpya Yazua Gumzo Mtandaoni - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha ya Barnaba na Mpenzi Wake Mpya Yazua Gumzo Mtandaoni

Baada ya kuachwa na mzazi mwenzie , Barnaba kwa mara nyingine aliweka post yenye picha yake na mwanamke mwingine huku akiwaaminisha mashabaiki wake kuwa huyo ndio mpenzi wake mpya baada ya zuu mela kumuacha ambae alibahatika kuzaa nae mtoto mmoja.

hata hivyo baada ya kuweka picha hiyo katika mitandao ya kijamii kulitokea kwa maoni ya watu na wadau mbalimbali huku wegine wakimponda na wengine wakionyesha kumsifia, katika caption ya barnaba aliandika “DONE” Baada ya hapo alianza kupokea maoni kutoka kwa wasanii wa mashabiki zake

@harmonize_tz kaka mbona kama umepania hivi kulipiza kisasi!!!!!

@barnabaclassic @harmonize_tz mdogo wangu kuku katoka bandani tuimbe kwa sauti ya seiya wa mivarooooo #UKIACHWAACHIKA

@auntyezekiel tena kwa hasira jamaniii…..@harmonize_tz

@jimmymafufu @barnabaclassic hapa basi pawe pa mwisho maana pamekufanyia amani.


Hata hivyo baada ya kuweka pich ahiyo, kurasa mbalimbali za udaku izlianza kumuandama mwanamke huyo na kumsema kwa maneno mabaya huku wengine wakisema kuwa mwanadada huyo ni mke wa mtu huko Dodoma.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.