Picha: Kim na Kanye West Waonyesha Familia Yao Kwa Mara ya Kwanza Tangu Wapate Mtoto wa 3. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Kim na Kanye West Waonyesha Familia Yao Kwa Mara ya Kwanza Tangu Wapate Mtoto wa 3.

Kwa mara ya kwanza Kim Kardashian na mumewe Kanye West wameonekana kwenye picha ya pamoja wakiwa na familia tangu walipopata mtoto wao wa tatu Chicago.

Kim ameweka picgha hiyo kweye mtandao wa Instagram huku mtoto wao Saint West (2) akionekana akiwa na style ya msuko kwenye nywele zake.

“I don’t think you really understand how hard it is to take a good family pic. This was all we got before all three kids started crying. I think I cried too,” ameandika Kim kwenye picha hiyo.

Kim alianza mahusiano na Kanye mwezi April 2012 na walifanikiwa kufunga ndoa May 24, 2014 kwenye eneo la Fort di Belvedere nchini Italy.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.