Penzi la Nandy na Billnass Laibuka Tena Upya, Wapi Ruge ? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Penzi la Nandy na Billnass Laibuka Tena Upya, Wapi Ruge ?

Wanamuziki Bilnass na Nandy waingia katika Headlines leo tena Baada ya Picha zao wakiwa katika Mapozi ya Mahaba kuvuja...Wawili hawa Walianza kuhisiwa kutoka Kimapenzi kipindi cha nyuma lakini stori ikapotea huku kukiwa na tetesi kuwa Nandy anatoka na Ruge stori ambayo ilikanushwa vikali

Pia Leo wakati picha zao zikitamba mtandaoni Ikumbukwe Ni Kumbukumbu Ya Siku Ya Kuzaliwa Mzee Baba Bilnass

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.