Mpenzi Wangu Anakosa Ute Wakati wa Tendo Ushauri Wako Tafadhali - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mpenzi Wangu Anakosa Ute Wakati wa Tendo Ushauri Wako Tafadhali

Tuna mwaka na miezi 3 toka tuanze uhusiano. Mwanzo nilikua namuandaa anatoa ute wakutosha kabisa ,ila kadri siku zinapozidi kusonga hata nimuandae vipi ute unatoka lakini wakulazimisha mno!!

Hali hiyo ilivyoanza tulijua labda ni hali ya mpito lakini hakuna mabadiliko yoyote... nikimuuliza anadai yeye mwenyewe haelewi na inamuumiza kuwa hivyo na hajui tatizo nini..

Nimeona nilete jamvini maana naamini hapa hakishindikani kitu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.