Jionee Shemeji/Wifi Yetu 'Mkali Balaa' Kwa Nikki wa Pili - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jionee Shemeji/Wifi Yetu 'Mkali Balaa' Kwa Nikki wa Pili

"Kila nikiona kibinda nadinda nakitia mimba" Moja ya mstari kwenye ngoma zake...Je unadhani ilikuwa tu bahati mbaya akaimba hiyo line ? Basi unaambiwa huyo ndo Mchumba wa Nikki wa Pili , Anakibinda si cha nchi hii...Naona harusi nyingine ya Staa Bongo hivi karibuni. 

Nini maoni yako mdau, tuandikie hapa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.