Irene: Rammy Alipanga Kufanya Kiki Katika Msiba wa Marehemu Masogange - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Irene: Rammy Alipanga Kufanya Kiki Katika Msiba wa Marehemu Masogange

Muigizaji wa filamu Bongo, Irene Paul amezungumza kwa mara ya kwanza na Ayo Tv toka alipo-post ujumbe kuhusu Rammy ambaye alionekana akibebwa na wasanii wenzake wakati alipopoteza nguvu kwenye msiba wa marehemu Agness Masogange.

Irene Paul amesema kwamba Rammy alipanga kufanya kiki katika msiba wa marehemu Masogange ndio mana akafanya vile alivyofanya siku ya msiba na ushahidi wa hilo anao, Irene kaongezea kwa kusema Rammy alikuwa anafanya msiba kama ni wake kitu ambacho haikikuwa sahihi.

PAKUA APP YETU MPYA ILIYOBORESHWA, >>BOFYA HAPA<<

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.