Haya Ndio Maneno ya Wema kwa Kanumba, Leo Ikiwa Ni Miaka Sita Tangu Alipofariki - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Haya Ndio Maneno ya Wema kwa Kanumba, Leo Ikiwa Ni Miaka Sita Tangu Alipofariki

Malkia wa Filamu na Muigizaji Bora wa kike, Wema Sepetu ikiwa ni miaka sita tangu alipofariki Muigizaji, Steven Kanumba ameandika ujumbe mzito kuhusu marehemu huyo.

Wema amemshukuru Kanumba kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa atalienzi jina la msanii huyo siku zote za maisha yake mpaka pale watakapo onana tena.

"Booboo…!!!

In MY heart you will always Remain… You changed my whole life… Introduced me to This Career that today gives me Respect… If it wasn’t for you I don’t know… Kuna wakati nakumiss saaaanaaa… Kama hii juzi ndo nilikukumbuka zaidi ya sana… Nikatamani uwepo japo uone kwamba kile ulichokitathmini miaka iliopita kina ukweli… .
.
Uliona kipaji ndani yangu na ukanishika mkono… Taratibu tukaamua kufanya kazi nd look at me now… Kuna muda nilikata tamaa kabisa ila kwa sasa naona hapana…. Sina sababu ya kufanya hivyo… .
.
Nitalienzi jina lako siku zote za maisha yangu, na kwa kufanya hivyo, nitafanya kazi kwa bidii… Na kukutaja kwenye mafanikio yangu maana wewe ni sehemu KUBWA sana kwenye SANAA Yangu…
.
Endelea Kupumzika kwa Amani baba angu… You will forever Live in my heart… Until we meet again"

PIGA MAPESA SASA KIURAHISI BET KWA >KUBOFYA HAPA<

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.