Habari Njema Kwa Mashabiki wa Rick Ross Nchini Kenya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Habari Njema Kwa Mashabiki wa Rick Ross Nchini Kenya

Rappa maarufu kutokea nchini Marekani Rick Ross anatarajia kufanya show kabambe Jumamosi April 28,2018 Nairobi Kenya huku akiwa anasindikizwa na wakali Khaligraph Jones pamoja na Nyashiski juu ya stage ambapo show hiyo imeandaliwa na NRG Radio.

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Rappa huyo kufanya show ya kipekee nchini Kenya lakini pia ni mara ya pili kufanya show Afrika Mashariki ambapo 2012 alipanda kwenye jukwaa la Fiesta iliyofanyika jijini Dar Es Salaam.
Rappa Rick Ross anatamba na ngoma kali ambazo zilimpa pia umaarufu mkubwa Afrika ikiwemo Beautiful Onyinye aliyoshirikishwa na P Square kutokea Nigeria, Waka Wakaaliyoshirikishwa na Diamond Platnumz.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.