Gigy Money Ajifungua Mtoto Wake Wa Kwanza, Jina Lake Hili Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Gigy Money Ajifungua Mtoto Wake Wa Kwanza, Jina Lake Hili Hapa

Video Vixen na Msanii wa Bongo fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money ametangaza ujio wa mtoto wake wa kwanza wikiendi hii.

Gigy Money aliweka wazi ujauzito wake Miezi michache iliyopita Ikiwa na miezi saba na April 27, 2018 ambapo amejaliwa kujifungua mtoto wake wa kwanza aliyemuita Myrah.

Baada ya kujifungua baba wa mtoto anayejulikana kama Mo J ambaye ni mtangazaji wa Choice Fm amemuandikia ujumbe mzito mama watoto wake huyo:

"Hakuna kitu kizuri kama kuwa baba… Aisee ni raha sana… Ni siku ya tatu leo tangu Mke Wangu Mama Myra aliponiletea zawadi hii ya mtoto najiona mwenye bahati sana na sina cha kukulipa Mke Wangu zaidi nahaidi kukuongezea upendo na kukuheshimu I Love You Your My Hero"


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.