DJ Maarufu na Mwimbaji Kutoka Sweden Avicii Afariki Dunia - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

DJ Maarufu na Mwimbaji Kutoka Sweden Avicii Afariki Dunia

DJ Maarufu na Mwimbaji kutoka nchini Sweden, Avicii amefariki dunia leo 20/04/2018 akiwa na umri wa miaka 28. Alizaliwa tarehe 8 September 1989. Taarifa rasmi zinasema Avicii amefariki akiwa mjini Muscat, Oman.

Avicii aliwahi kuisumbua dunia ya muziki kwa Hits zake kama: Wake Me Up, Hey Brother na You Make Me.


Hapa chini ni baadhi ya ngoma zake zinazopendwa sana.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.