Diamond na Hamisa Waonekana Wakila Bata Beach, Picha Zafichua Siri - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond na Hamisa Waonekana Wakila Bata Beach, Picha Zafichua Siri

Diamond na Hamisa wamerudiana ? Location za picha zao mtandaoni zinazonyesha Hamisa yupo Slipway pia Diamond yupo Slipway... na katika Insta story ya Hamisa kaweka video akiwa na mpenzi wa Rayvanny. Mpaka hapo kuna swali kwamba Hamisa na Diamond hawajarudiana ?

Pia Unakumbuka hivi majuzi wawili hao waliachia video tata huku wakiwa pamoja chumbani wakila bata ?

Video hii hapa chini:

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.