Diamond Akamatwa na Polisi kwa Kusambaza Picha za Faragha, Nandy naye Ahojiwa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Akamatwa na Polisi kwa Kusambaza Picha za Faragha, Nandy naye Ahojiwa

Msanii Naseeb Abdul Maarufu kama Diamond Platnumz amefikishwa Polisi jana kuhojiwa kutokana na kusambaza kwa video zake zisizo na maadili katika mitandao ya kijamii

Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Michezo, Utamaduni na Sanaa Dkt. Harrison Mwakyembe akiwa Bungeni wakati akijibu swali juu ya kanuni za maudhi ya Mitandaoni alilouliza Mbunge Goodluck Mlinga

Aidha, Waziri Mwakyembe amesema Msanii Faustina Charles(Nandy) naye amefikishwa Polisi kuhojiwa kufuatia video yake ya faragha akiwa na Msanii mwenzake Billnass kusambaa mitandaoni

Waziri Mwakyembe amesema kwa sasa wanaangalia taratibu za kuwafikisha Mahakamani.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.