Daimond: Kwangu Sio Msalaba Bali ni Alama ya Kujumlisha Yenye Siri Nzito - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Daimond: Kwangu Sio Msalaba Bali ni Alama ya Kujumlisha Yenye Siri Nzito

Msanii mkubwa wa bongo Diamond amefunguka na kusema kuwa watu wamekuwa wakimsema kuwa anavaa msalaba ambao hauendani na imani yake lakini ukweli unabaki kuwa siri ya msalaba huo anaijua yeye na kwamba kwake yeye ule sio msalaba bali ni alama ya kumjumlisha ambayo kwake ina maana sana.

Diamond amesema kuwa hayo kwa sababu kuna kipindi aliwahi kuongelewa hadi na voiongozi wa dini kuwa amekuwa haeleweki kwa sababu anavaa misalaba ambayo ni kunyume na imani ya dini yake ya kiislamu.

"cheni ninayovaa na watu wanavyonidiss nimekuwa nina washangaa sana,kwa sababu watu wamekuwa wanazungumza kile wasichokijua kabisa.kwangu huu sio msalaba bali ni alama ya kujumlisha ambayo ninaiona kuwa haina tatizo lolote kwangu zaidi ya kuwa na siri nzito sana.–Aliongea Dimaond akichona na kipindi cha Mikito Nusu Nusu"

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.