Breaking News: Abbas Kandoro Afariki Dunia - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Breaking News: Abbas Kandoro Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro amefariki dunia usiku huu.

Kandoro ameaga dunia akiwa katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Taarifa zaidi zitakujia hapa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.