Alikiba Kuwasogeza Mashabiki Wake Karibu Kupitia Soka - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alikiba Kuwasogeza Mashabiki Wake Karibu Kupitia Soka

Msanii wa muziki nchini Alikiba anawakutanisha mashabiki wake pamoja kwa kuwaandalia mchezo wa soka ili kuweza kufurahia nao pamoja, siku ya April 27, Alikiba na Team Kiba watakuwa pamoja katika viwanja vya Jakaya Kikwete pale Mnazi Mmoja kwa ajili ya kukutana na mashabiki zake.

Katika kukutana huku, Alikiba na team yake watakuwa na mchezo wa soka kati ya Team_Kiba Fc na Insta Soka Fc, Lengo kubwa la mechi hizi ni Alikiba kuwa pamoja na mashabiki wake huku ikiwa imebaki siku moja tu Alikiba kufanya sherehe ya harusi yake aliyoifunga wiki iliyopita huko mjini Mombasa, Kenya.
Mchezo huu unatarajiwa kuanza mida ya saa10 jioni na hakutakuwa na kiingilio hivyo watu wote wanakaribishwa katika michuano hiyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.