Wanaume na Sifa Walizonazo Katika Mahusiano ya Mapenzi - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wanaume na Sifa Walizonazo Katika Mahusiano ya Mapenzi


Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi

1. Ukimkuta handsome..kichwa yake ni empty.

2. Ukimkuta genius…yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic, hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno

3. Ukimkuta tajiri…hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.

4. Ukimkuta mfanyakazi hodari na mtafutaji…hana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha

5. Ukimkuta mnyenyekevu…mfukoni huwa 0%.

6. Ukimkuta anayependa kwa dhati…anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazitaka.

7. Ukimkuta msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona boya tu.

8. Ukimkuta yule smart…ni muongo to the maximum… na player

So ushauri kwa wadada kwenye kuchagua embbu sikiliza moyo wako unataka nini… na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect.


Kwa nini kulilia watu perfect ?


Mambo 10 Muhimu Ambayo Mwanaume Mwenye Future Hufanya

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.