Mtangazaji Tbway Anusurika Kifo Baada ya Kupata Ajali Mbaya ya Gari - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mtangazaji Tbway Anusurika Kifo Baada ya Kupata Ajali Mbaya ya Gari

Taarifa za hivi punde kuhusiana na mtangazaji wa EATV Tbway ni kuwa amepata ajali akiwa na gari yake usiku huu maeneo ya Makumbusho Kijitonyama.

Tbway amepata ajali na gari yake kuharibika na kwa mujibu wa DJ Choka ambaye alifanikiwa kufika eneo la tukio, amethibitisha kuwa Tbway ametoka salama na anaendelea vizuri.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.