Kauli ya Rais Mtaafu Kikwete Baada ya Kukutana na Dangote na Bill Gates - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kauli ya Rais Mtaafu Kikwete Baada ya Kukutana na Dangote na Bill Gates

Mwishoni mwa weekend iliyomalizika nchini Nigeria kulifanyika sherehe ya aina yake iliyomuhusisha binti wa tajiri namba moja Afrika, Aliko Dangote aitwaye Fatima Dangote.

Harusi hiyo ilihudhuriwa na viongozi wakubwa barani Afrika na duniani kiujumla, miongoni mwao ni Rais Mtaafu Jakaya Kikwete.

Katika harusi hiyo aliweza kukutana na mwenyeji wake Dangote pamoja na tajiri namba mbili duniani kwa sasa, Bill Gates. Baada ya harusi hiyo hiki ndicho alichokiandika Mhe. Kikwete katika social network zake.

While in Nigeria, I joined my friend @AlikoDangote in Lagos to celebrate the wedding of his daughter Fatima Dangote. It was good to connect with many friends whom I have known and worked with over years of my public life @BillGates @RaymondChambers @AminaJMohammed @akin_adesina

Binti huyo wa Dangote ameolewa na Jamili Abubakar ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi nchini humo, Mohammed Dikko Abubakar.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.