Hii Sio Ya Kukosa Kutoka Vodacom Tanzania Pekee, Instagram Sasa ni BURE - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hii Sio Ya Kukosa Kutoka Vodacom Tanzania Pekee, Instagram Sasa ni BURE

Vodacom Tanzania wamekuletea INSTAGRAM BUREEEEEEEE

Pata instagram BURE sasa kila unaponunua kifurushi cha Tshs 1,000 au zaidi usambaze na kuangalia picha BURE ukiwa kwenye mtandao supa pekee Tanzania, Piga *149*01# kujiunga

Uzinduzi huo umefanywa na Linda Riwa ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Bidhaa kwa Wateja Mlimani City jijini Dar es Salaam. 
Katika mpango huu Vodacom Tanzania wanakwambia kuwa unapata Instagram BURE kila unaponunua kifurushi cha Tshs 1,000 au zaidi usambaze na kuangalia picha BURE ukiwa kwenye mtandao supa pekee Tanzania. Kifurushi hiki kitakuwezesha kuangalia picha na ukinunua kifurushi chochote cha Pindua Pindua utapata picha, video na IG stories bure kabisa.Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.